Preparatory Schools/Shule za Awali

Cheza kwa Akili
Marco Mussa
ISBN 9976 973 11 X; 1992; 16pp; Tshs. 2,000.00
Ni kitabu kinachomchochea mwanafunzi kutumia uwezo wake wa kufikiri kwa kutambua mafumbo mbalimbali. Pia kina mazoezi ya kuchora na kuweka rangi
kwenye michoro.
 Karibu Tusome 1
M.G. Kihampa Vielelezo: Marco Mussa
ISBN 9976 973 05 5 1991 24pp TShs. 2,000.00
Kitabu cha kwanza katika mfululizo.
Kinamwanzisha mtoto kutambua irabu – a, e, i, o, u, kisha konsonanti pamoja na irabu, baada ya hapo neno na hatimaye sentenso.

Karibu Tusome 2
M.G. Kihampa
Vielelezo: Marco Mussa
ISBN 9976 973 17 9; 1992; 32pp; TShs. 2,500.00
Kitabu cha pili katika mfululizo. Mwanafunzi anafundishwa kutambua na kutumia herufi
mwambatano, k.m. –nda, nga, sha, nyi, bwa, pwa n.k.

Karibu Tusome 3
M.G. Kihampa
Vielelezo: Marco Mussa
ISBN 9976 973 18 7 1992 32pp Tshs. 2,500.00
Kitabu cha tatu katika mfululizo. Katika kitabu hiki mwanafunzi anafundishwa kusoma sentensi, vifungu vya habari na hadithi fupi.

Kitabu changu cha A, B, Ch
Vielelezo: Marco Mussa
ISBN 9976 973 24 1 1994 22pp TShs. 2,000.00
Kama jina la kitabu linavyoeleza, kitabu hiki ni cha kumwanzisha mtoto kutambua abjadi ya Kiswahili.

Ulimwengu wa Namba 1
Vielelezo: Marco Mussa
ISBN 9976 973 12 8 1993 16pp TShs. 2,000.00
Kitabu hiki kinamwanzisha mtoto kutambua namba kutoka 1-10. Picha za wanyama, matunda na vitu mbalimbali vinampa mtoto uwezo wa kutambua vitu vilivyo katika mazingira anayokutana nayo kila siku.

Vitendo vya Lugha na Hisabati
Joshua Katondo
ISBN 9987 417 06 X; 2004; 56pp; TShs. 3,000
Mkusanyiko wa mazoezi mbalimbali ya lugha na hisabati kwa ajili ya kumsaidia mtoto kufikiri vyema. Ni kitabu kitakachowasaidia sana watoto wa madarasa ya awali
na hata baada ya hapo. |
|
Textbooks/ Vitabu vya Kiada
Karibu Tusome Kiswahili,
Darasa la Kwanza, Sehemu ya 1 (Mwanafunzi)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 03 6; 2004; 30pp; TShs. 1800.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la Kwanza,
Sehemu ya 2 (Mwalimu)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 04 4; 2004; 62pp; TShs. 1500.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la Kwanza,
Sehemu ya 2 (Mwanafunzi)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 05 2; 2004; 40pp; TShs. 1800.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la Kwanza,
Sehemu ya 2 (Mwalimu)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 06 0; 2004; 56pp; TShs. 1500.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la 2 (Mwanafunzi)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 07 9; 2004; pp;
TShs. 00.00
 Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la 2 (Mwalimu)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 08 7; 2004; pp; TShs. 00.00
Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la 3 (Mwanafunzi)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 10 9; 2004; pp; TShs. 00.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la 3 (Mwalimu)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 09 5; 2004; pp; TShs. 00.00
Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la 4 (Mwanafunzi)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 11 7; 2004; pp; TShs. 00.00

Karibu Tusome Kiswahili, Darasa la Nne, (Mwalimu)
Mary Grace Kihampa
ISBN 9987 686 12 5; 2004; pp; TShs. |