MFULULIZO WA VITABU VYA SHAABAN ROBERT

Kielezo cha Fasili
Shaaban Robert
ISBN: 9976 973 15 2 1991 112pp Tshs. 3,000.00
Fasili ni maelezo ya fikira na maono katika karaa, aghalabu ya mashairi. Ni taaluma katika maandiko ya lugha na fahamu ya fikira za mwandishi kwa msomaji,
ni msaada katika ustadi wa fasaha na wa tungo. Tunawakaribisha Watanzania, hasa vijana, kukisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu cha mshairi wa taifa marehemu Shaaban Robert.

Kusadikika
Shaaban Robert
ISBN: 9976 973 10 1; 1991; 80pp; Tsh. 2,500
Kusadikika ni nchi ambayo kuwako kwake hufikirika
kwa mawazo tu. Nchi hiyo iko katikati ya mipaka sita.
Kwa kuvichapisha tena vitabu vya marehemu Shaaban Robert, tunarejesha fasihi ya Tanzania katika kiwango chake kileleni ili rika ya sasa ielewe utajiri wa taifa katika fani ya ushairi. 
Wasifu wa Siti Binti Saad
Shaaban Robert
ISBN 9976 973 09 8; 1991 88pp Tshs. 2,500.00
Kitabu hiki ni moja ya wasifu bora kabisa zilizowahi kuandikwa juu ya binadamu. Mwandishi wetu maarufu, Shaaban Robert, ametuachia kumbukumbu muhimu sana juu ya mwanasanaa na mwanaharakati wa aina yake, yaani Siti Binti Saad. Kwa kusoma wasifu huu, tunaona mambo mbalimbali, mojawapo ni utetezi wa haki za wanawake na wanyonge, ukombozi wao dhidi ya ugandamizaji wa kila aina na kadhalika. Kimo kwenye silabasi ya Darasa la Kumi na Nne.

Mapenzi Bora
Shaaban Robert
ISBN: 9976 973 08 X; 1991; 80pp Tshs. 2,500.00
Mapenzi ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu. Lakini mapenzi yapi? Shaaban Robert anaeleza kwa ufasaha na sanaa, Mapenzi Bora. Kimo kwenye silabasi ya Darasa la Kumi na Nne.

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini
Shaaban Robert
ISBN: 9976 973 16 0 1991 136pp Tshs. 3,250.00
Hiki ni kitabu cha marehemu Shaaban Robert juu ya maisha yake mwenyewe. Ni kitabu cha kusisimua. Kinatoa picha halisi ya mwandishi huyu maarufu katika Afrika ya Mashariki. Mwandishi huyu ameacha urithi mkubwa wa hekima katika nyanja mbalimbali
za maisha ya mwanadamu na kuna mengi ya kuvutia na hata kusikitisha katika maisha yake nyakati za enzi za
ukoloni hapa nchini.

Kufikirika
Shaaban Robert
ISBN: 9976 973 06 3; 1991; 68pp Tshs. 2,250.00
Kufikirika ni nchi moja kubwa katika nchi za dunia. Kaskazini imepakana na Nchi ya Anasa, Kusini
Nchi ya Majaribu, Mashariki Bahari ya Kufaulu na Magharibi Safu ya Milima ya Jitihadi. Ramani ya nchi hiyo ni adimu kupatikana kwa sababu nchi yenyewe haiandikiki ila hufikirika kwa mawazo tu.
Njia ya kwenda nchi hiyo hukanyagwa kwa fikira siyo nyayo. Endelea kusoma hadithi hii yenye hekima nyingi na misingi ya falsafa.

Sarufi ya Kiswahili – Shule za Msingi
M. G. Kihampa, B. Mahundi, E. Mwandiko na O. Kagimbo
ISBN 9987-686-56-7 2003 32pp Tshs. 2,200.00
Kitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya ufundishaji wa sarufi ya Kiswahili katika Shule za Msingi nchini Tanzania. Pia kitawafaa wanafunzi wa Shule za Sekondari na vilevile wageni wanaojifunza lugha hii ya Kiswahili ili waweze kumudu kuiandika na kuizungumza kwa ufasaha.
|
|
ENGLISH TITLES FOR SCHOOLS

Question Papers and Model Answers:
O-Level Basic Mathematics
John Nyamwihura
9976 973 02 0; 1991; 52pp; Tshs. 2,000.00
This book has been written specifically to provide revision material for Secondary School Students who are preparing for their final examinations. There are about 160 questions of examination standard carefully graded for self-test as well as model answers which are designed to act as a “mirror” for self-checking.

Question Papers and Model Answers:
O-Level Physics
A.S. Mkichwe
ISBN 9976 973 48 9; 1998; 56pp; Tshs. 2,000.00
This book is designed to assist students studying Physics for the O-Level Certificate Examination. There are, in this book, 69 carefully grades questions calculated to drill the student in problem solving.

Question Papers and Model Answers:
O-Level Biology
Doris S. Kimera
ISBN. 9976 973 50 0; 1998; 48pp ; Tshs. 2,000.00
This book has many biology questions and model answers. It has been written to assist students preparing for their O-Level Biology and Biology Sciences. Questions of examination standard and to acquaint students with the skills necessary in interpreting and answering examination questions.

Mathematical Tables
John Nyamwihura
ISBN 9976 973 012 1988 49pp Tshs. 2,000.00
This collection of tables has been compiled to meet the syllabus requirements of secondary schools and technical colleges. It will also prove to be a valuable set for students on a wide range of professional courses including; Accountancy, Business Finance, Business Management, Medicine, Agriculture, Land Survey
and Engineering.

Economics for Advanced Level and
Undergraduate Students
Odass Bilame
ISBN: 9987 417 15 9; 2004; 118pp; TShs. 5,000.00
This is a useful text for Economics that covers all the topics as per Economics syllabuses in East Africa. It is covering micro-economics theory, national income accounting and employment, population and international economic relations.
A Wreath for Father Mayer
S.N. Ndunguru
ISBN 9976 973 34 9 1997 176pp Tshs.3,500.00
A cholera epidemic at a catholic mission station.
A murder. A priest determined to solve the mystery.
A series of fast action events at the station, in England, and at the Mission of St. Ottilien in Germany where Fr. Mayer, founder of the mission station, lies buried. Dreams, prayers and shrewed investigations lead to the arrest of the murderer. A moving and tough first novel.

Karibu Social Studies, Student’s Book, Grade 1
Pamela Bhanji
ISBN 9987 686 69 9; 2004; 40pp; TShs. 3,600
Maelezo ya Kitabu: A course book for the social studies subject for Grade 1 in English Medium schools. It will be found helpful as it goes beyond the school syllabuses for the subject. The author is an experienced teacher and head of the Upanga Nursery and Primary School in Dar es Salaam.
 Karibu Social Studies, Student’s Book, Grade 2.
Pamela Bhanji
ISBN 9987 686 69 9; 2004; 64pp; TShs. 4,000
A course book for the social studies subject for Grade 2 in English Medium schools. It will be found helpful as it goes beyond the school syllabuses for the subject. The author is an experienced teacher of the subject at the Upanga Nursery and Primary School in Dar es salaam.

Karibu Social Studies, Grade 1 & 2
Teacher’s book.
Pamela Bhanji
ISBN 9987 686 71 0; 2004; 52pp; TShs. 1,500
Kiwango cha Wasomaji: Grade 2, English Medium schools
Maelezo ya Kitabu: Walimu wa English Medium Schools na wengine wanaotaka kulinganisha vitabu vya Kiswahili na hivi vya Kiingereza.
|