Mkuki Na Nyota Publishers

Diwani ya Mloka

Sh 7,000

Charles Mloka

SKU: 9789987686445 Categories: , , , , Tag:

Diwani ya Mloka ni mkusanyiko wa mashairi yanayozungumzia masuala mbalimbali ya kijamii na yanayomwandaa msomaji katika misingi bora ya kimaisha; kuchochea hamasa na juhudi za kuendeleza Kiswahili; na kuhifadhi mashairi yanayoakisi migogoro mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchumi iliyokuwepo wakati wa utawala wa chama kimoja nchini Tanzania. “Hatua hii ya Mloka ni ya kufaa kuigwa…”.

A collection of Swahili poems by Charles Mloka.

International availability:
This book is internationally distributed by African Books Collective

Dimensions 204 × 145 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Diwani ya Mloka”

Your email address will not be published. Required fields are marked *