Mkuki Na Nyota Publishers

Hadithi Isiyo na Mwisho

Sh 5,000

Abdu Haji Mjaka

SKU: 9987686141 Categories: , , , Tag:

Mfalme Tayari ni mpenda hadithi sana. Pia ana binti aitwaye Hafidha ambaye naye kama baba yake, ni mlevi wa hadithi sana. Siku moja anamwambia baba yake kuwa anapenda mwanamume atakayesimulia hadithi isiyo na mwisho ili amuoe. Mfalme anatangazia wanaume kujaribu bahati yao. Je, atapatikana msimulizi wa hadithi isiyo na mwisho na kumuoa binti mfalme? Basi fuatana na mtunzi Abdu Haji Mjaka, ili kuyajua haya.

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hadithi Isiyo na Mwisho”

Your email address will not be published. Required fields are marked *