Hadithi ya Kinyonga Ambaye Hakuweza Kubadili Rangi

5,000.00 TZS

SKU: 9986686532 Categories: , , , , Product ID: 182

Description

Hadithi ya Kinyonga Ambaye Hakuweza Kubadili Rangi

Walter Bgoya

Katika familia ya Bwana na Bibi Kinyonga wanazaliwa watoto wengi kwa mpigo. Mmoja wao hana uwezo wa kujibadili rangi. Familia nzima inapatwa na simanzi… atajilindaje dhidi ya maadui? Soma kisa hiki ujue ni kwa vipi kinyonga huyu mdoyo anageuka kuwa shujaa wa kutegemewa.

Alternative versions

This book is also avalible in English, The Chameleon Who Could Not Change Her Colour

Additional information

Dimensions 100 x 100 mm
Binding