Mkuki Na Nyota Publishers

Hadithi ya Kunguru na Chura Mzee

Sh 5,000

Walter Bgoya

SKU: 9987686427 Categories: , , , , Tag:

Wazee wawili, Bwana na Bibi Mgogo, hawakujaaliwa hata mtoto mmoja. Katika saa za lala salama za umri wao, ­ hawana mtoto, ­ maisha yao yanakuwa ya huzuni lakini ndoto inabadilisha maisha yao ­ wanapata mtoto kwa njia ya ajabu. ­ Je ni njia ipi hiyo? na nini kilimpata mtoto huyo baada ya kutosikia la mzazi…!

Alternative versions
This book is also available in English, The Story of the Crow and the Frog

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hadithi ya Kunguru na Chura Mzee”

Your email address will not be published. Required fields are marked *