Mkuki Na Nyota Publishers

Hadithi ya Punda na Malkia Wao Fari

Sh 5,000

Tololwa M. Mollel

SKU: 9789987082612 Categories: , , , Tag:

Punda waliishi huru kabisa katika nchi yao wenyewe iliyoneemeka kwa kila hali. Waliishi na Malkia wao aliyeitwa Fari. Mvua zilinyesha vizuri. Punda walikula na kusaza. Mito, maziwa na mabwawa, yalijaa maji tele. Lakini haukupita muda, mambo yaliwageuka. Je, kitu gani kilitokea kilichowanyang’anya punda uhuru wao huo na neema zao hizo na kuwafanya watumwa wa kazi zetu sisi binadamu leo hii? Je, yapo mafunzo tunayoweza kupata kutokana na yaliyowasibu punda? Utapata majibu ya maswali haya katika hadithi hii iliyo na mengi yaliyotokea, iliyoandikwa na Tololwa M Mollel, mwandishi wa vitabu vingi vya watoto.

Dimensions 297 × 210 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hadithi ya Punda na Malkia Wao Fari”

Your email address will not be published. Required fields are marked *