Mkuki Na Nyota Publishers

Katala na Genge la Wezi

Sh 5,000

Jackson Kalindimya

SKU: 9987686907 Categories: , , , Tag:

Katala ni mpenzi mkubwa wa mpira wa miguu. Anacheza mpira kila mahali. Katika harakati za mchezo huo, anapiga shuti kubwa, mpira unaingia mpaka jikoni na kuvunja vyombo. Mchezo unaishia hapo. Siku nyingine katika harakati za mchezo huo, anakwenda na rafiki zake kucheza mbali zaidi. Mpira unasaidia kugundua maficho ya genge la wezi. Ni kwa namna gani?

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Katala na Genge la Wezi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *