Mkuki Na Nyota Publishers

Saa Ngapi?

Sh 5,000

Sauda S. Kilumanga

Saa ngapi?’ ni swali lilnaloulizwa kila wakati. Kuna usemi kuwa ‘Muda ni mali’. Je, tunautumiaje muda wetu? Je,tunaweza kufanya kila kitu wakati muda wowote? Kitabu hiki kinatupa mpangilio wa baadhi ya shughuli zetu katika siku. Matukio hutokea ndani ya muda. Fuatilia.

Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Saa Ngapi?”

Your email address will not be published. Required fields are marked *