Mkuki Na Nyota Publishers

Safari Kwenye Nchi ya Ajabu

Sh 5,000

Fatma S. Rawah

SKU: 9987686958 Categories: , , , Tag:

Samira ni mtoto mtukutu na mvivu ambaye hapendi kusoma wala kufanya kazi.Usiku mmoja anaota ndoto ya kutisha. Anabebwa na ndege mmoja mkubwa na kupelekwa mahali fulani. Fuatilia hadithi hii ujue alipelekwa wapi na kurejea kwa masharti gani, na nini kilimfanya abadili tabia yake.

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari Kwenye Nchi ya Ajabu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *