Ua la Zalizali

5,000.00 TZS

SKU: 9987686192 Categories: , , , Product ID: 472

Description

Ua la Zalizali

M. Abeid

Maisha yamejaa mitihani ya aina nyingi. Kuishi maisha nikukabiliana na mitihani hii siku hadi siku. Katika hadithi hii, furaha, utajiri na heshima havipatikani ila kwa kushinda mitihani mingi ukiwamo wa kuchuma Ua la Zalizali lililokuwa katikati ya ziwa.

Additional information

Dimensions 100 x 100 mm
Binding