Watoto na Zimwi

5,000.00 TZS

SKU: 9987686206 Categories: , , , Product ID: 487

Description

Watoto na Zimwi

F. Bea

Karibu na Kijiji walikoishi Soli kulikuwa na msitu wenye viumbe wengi wa ajabu wanaoitwa Zimwi. Zimwi moja lilikuwa sana na lenye kutisha. Lilifanana na nyani kwa juu na miguu yake ilifanana na ya kuku. Lilikuwa na meno marefu yaliyojitokeza nje ya kinywa chake, na mkia mrefu. Watu wote kijijini waliishi kwa waisiwasi na woga wa zimwi lile. Mashujaa walijaribu kuliua zimwi lile bila mafaniko, likaendelea kumeza watu na wanyama wengi. Je wanajikiki wataendelea kuishi kwa woga na mashaka au watajitokeza mashujaa watakaoliua na kuwanusuru wana kijiji? Soma ugundue mashujaa ni akina nani.

Additional information

Dimensions 100 x 100 mm
Binding