Mkuki Na Nyota Publishers

Watoto na Zimwi

Sh 5,000

Fidelis Bea

SKU: 9987686206 Categories: , , , Tag:

Karibu na Kijiji alichoishi Soli, kulikuwa na msitu wenye viumbe wengi wa ajabu wanaoitwa Zimwi. Zimwi moja lilikuwa sana na lenye kutisha. Lilifanana na nyani kwa juu na miguu yake ilifanana na ya kuku. Lilikuwa na meno marefu yaliyojitokeza nje ya kinywa chake, na mkia mrefu. Watu wote kijijini waliishi kwa wasiwasi na woga wa zimwi lile. Mashujaa walijaribu kuliua zimwi lile bila mafaniko, likaendelea kumeza watu na wanyama wengi. Je, wanakijiji wataendelea kuishi kwa woga na mashaka au watajitokeza mashujaa watakaoliua na kuwanusuru wanakijiji? Soma ugundue mashujaa ni akina nani.

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Watoto na Zimwi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *