Mkuki Na Nyota Publishers

Zimwi la Mrima

Sh 5,000

Fatma S. Rawah

SKU: 9987417051 Categories: , , , Tag:

Ili kuhimili mabadiliko yanayoletwa na mchakato wa utandawazi, watu binafsi na jamii kwa ujumla hawana budi kufahamu na kutumia kanuni bora za kuendesha miradi ili kuongeza uzalishaji na tija. Kitabu hiki kimeandikwa kwa makusudi ya kuwasaidia vijana na Watanzania wote kwa ujumla kupata maarifa ya namna bora za kuanzisha miradi endelevu. Ni kitabu ambacho kitawafaa watendaji katika ngazi mbalimbali za Serikali kuanzia vijijini hadi taifani. Bila shaka kila mmoja atanufaika na maarifa yaliyomo humu, hasa kwa wale wanaokusudia kuanzisha miradi yao wenyewe na wale wanaosimamia miradi ya jamii.

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Zimwi la Mrima”

Your email address will not be published. Required fields are marked *