Mkuki Na Nyota Publishers

Nayakumbuka Yote

Sh 8,000

Hoyce Temu

SKU: 9789987449453 Categories: , , , Tag:

Haya maisha binafsi ya Hoyce Temu, Miss Tanzania wa mwaka 1999. Mabinti wanaotaka kujua mambo yalivyo katika masuala ya urembo na ya maisha watafaidika sana kwa kusoma kitabu hiki. Lakini si wao tu, kwa wananchi wote, na hasa wale ambao wamewahi kufikiria kuandika juu ya maisha yao.

Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nayakumbuka Yote”

Your email address will not be published. Required fields are marked *