Mkuki Na Nyota Publishers

Popo, Ndege na Panya

Sh 5,000

Hamis Akida and Walter Bgoya

SKU: 9987686400 Categories: , , , Tag:

Popo alikuwa akirandaranda na kuzurura akitafuta familia ambayo ingeweza kumpokea na kumpenda.Kwanza alikwenda kwa panya lakini panya walimkana.Halafu alikwenda kwa ndege, nao pia wakamkataa.Baada ya hapo alikwenda kwa binadamu, na huyo ndiyo kabisaa, akamtimua. Lakini mambo yalikuja yakageuka. Waliomkataa wakataka sasa awe jamaa yao. Soma ugundue hawa ni nani. Katika kisa hiki cha kuhuzunisha na kufurahisha, Popo aliamua hatimae kuwa, “Kumbe ulimwenguii kuna vitu vingine vya maana vya kuwaza kuliko kuwa ndege au panya.”

Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Popo, Ndege na Panya”

Your email address will not be published. Required fields are marked *