Ushujaa wa Fatuma

5,000.00 TZS

SKU: 9987686893 Categories: , , , Product ID: 478

Description

Ushujaa wa Fatuma

F. S. Bosse

Ni heka heka za sherehe ya harusi. Watu wazima wanakimbia na kuhangaikia shughuli hiyo. Wanatoa nafasi ndogo kwa watoto. Hawawasikilizi. Hawawajali. Msichana shujaa, Fatuma, anatumia mbuny ya juu kuwakumbusha watu wazima kuwa hata wao, yaani watot, wapo pia. Alifanyaje soma ugundue.

Additional information

Dimensions 100 x 100 mm
Binding